October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Dogo usijifanye umesahau ile ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia TV chogo black and white 1988.Hivi hiyo red cross ninini mkuu?
Red cross=Jwtz refer 29 October _nov 3Hivi hiyo red cross ninini mkuu?
Asijaribu tutamtungua hata na manati jukwaaniSiye twampenda. Hehehe! Siye 32M twamtaka aje ziarani atuhutubie jamani. Twampenda jamani! Nye mwamfichiani? Majeshi yapo hehehe. Mwamhofia nani Nye. Hehehe. Mwafikiri tutajillipua tujitoe mhanga hehehee. Mwafurahisha siye twapata wapi mabomu siye. Au mwafikiri tutamdungua heheheee. Siye maskini siye. Nye wadunguaji wote mkonao. Mwahofia nini. Walahi mwachekesha. Mayii. Lakini tulieni kidogo najuzwa bado Redcross wanatafuta mupenyo. Hehehe. Mayii. Ukisikia nyaaaa ujue manyoya. Hehewhehe. Mayii na bado
Aiseeee nimeiona mara nyingi kwenye hii mijadala yetu ya haya mauwaji na matekaji ya ccm ila sikuwa najua kuwa red cross stands for jwtzRed cross=Jwtz refer 29 October _nov 3
Mh nyie watu, juzi juzi hapa si tulienda Arusha?Hhhhhh, na sijaona ziara yoyote hata huko mikoani kwenda kushukuru kwa ushindi wa kishindo wa 0.98.
Ziara zake ni za kwenye makambi ya jw. Kule chuga na kule Tanga.Mh nyie watu, juzi juzi hapa si tulienda Arusha?
Im still in the dark, go farther.Aiseeee nimeiona mara nyingi kwenye hii mijadala yetu ya haya mauwaji na matekaji ya ccm ila sikuwa najua kuwa red cross stands for jwtz
Nani huyo!!Siye twampenda. Hehehe! Siye 32M twamtaka aje ziarani atuhutubie jamani. Twampenda jamani! Nye mwamfichiani?
Majeshi yapo hehehe. Mwamhofia nani Nye. Hehehe. Mwafikiri tutajillipua tujitoe mhanga hehehee. Mwafurahisha siye twapata wapi mabomu siye. Au mwafikiri tutamdungua heheheee. Siye maskini huyosiye. Nye wadunguaji wote mkonao. Mwahofia nini.
Walahi mwachekesha. Mayii. Lakini tulieni kidogo najuzwa bado Redcross wanatafuta mupenyo. Hehehe. Mayii. Ukisikia nyaaaa ujue manyoya. Hehewhehe. Mayii na bado
Ndio ivyooo Mimi pia sikujua ila wadau walitusanua kua redcross ndio Jwtz maana jeshi liligeuka kama shirika la msalaba mwekundu likashindwa kuwalinda raia wake wasiangamizwe na maharamiaAiseeee nimeiona mara nyingi kwenye hii mijadala yetu ya haya mauwaji na matekaji ya ccm ila sikuwa najua kuwa red cross stands for jwtz