TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

Hapo umechanganya madesa. Kukubalika kwa Rais Samia ni tofauti na suala la hoja ya katiba mpya. Haya ni mambo mawili tofauti tusiyachanganye. Rais Samia anakubalika kwa vigezo tofauti na hitaji la katiba mpya bila kujali Rais gani yupo madarakani. Inavyoelekea hitaji hili linaweza.kuzimwa kwa nguvu za kidola siyo kwa hoja. Muda ni mwamuzi mzuri, tusubiri.
kufundisha mawe si kazi rahisi
 
Hao Twaweza wamethibitisha utafiti wao na Mtwakimu Mkuu wa Serikali? Tuanzie hapo.
 
Ila sijaona chama Cha kumbukumbu Kama ccm mchakato wa katiba waliuanzisha wao wakausimamia wao walipoona ohooo hii katiba itatuchinja wenyewe wakalitelekeza jangwani.
Hivi mwenyekiti wa bunge lile la katiba alikuwa ni nani mkuu?Nataka nimuandikie waraka.
 
Kilichofuata mkurugenzi wa TWAWEZA sio raia wa Tanzania! 😀😀😀

1634187165909.png
 
View attachment 1973448

Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS .

Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi .
Watuonyeshe maswali walio uliza kwenye utafiti huo wa kisomi. Watu wengine hatuelewi Katiba Mpya ni nini na itatuletea maendeleo yapi? Kaziendelee inaeleweka - madarasa yatajengwa, barabara bora vijijini, huduma za afya bora vijijini, miradi mikubwa itamalizwa, maji safi kwa watanzania wengi na kadhalika. Faida za katiba mpya............mimi naona hasara tu za mchakato wa katiba mpya, mabillioni ya pesa yatatumika kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
 
Kiufupi unahitaji elimu juu ya umuhimu wa katiba mpya!Hujachelewa,uwe unafuatilia yanayojadiliwa kwenye makongamano ya katiba mpya!Au unaweza kurudi nyuma na kutafuta rasimu ya Warioba kabla haijachakachuliwa utapata ufahamu!
 
View attachment 1973448

Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS .

Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi .
Weka hapa ripoti yao tuidadavue...sample population yao pengine ni mkutano wa viongozi wa Chadema
 
Kwanini unataka Twaweza tuikubali tu wakati wa Uchaguzi? Wakinunuliwa tutajua tu. Mwaka 2016 Twaweza walikuja na matokeo ambapo ilionekana Umaalufu wa Shujaa Jiwe ulipungua kutoka 94% mwaka 2015 hadi 54% mwaka 2016. Jamaa alifura kama Mbogo Mkurugenzi wa Twaweza alitekwa na kunyanganywa Passport. 🤣🤣🤣
 
Watuonyeshe maswali walio uliza kwenye utafiti huo wa kisomi. Watu wengine hatuelewi Katiba Mpya ni nini na itatuletea maendeleo yapi? Kaziendelee inaeleweka - madarasa yatajengwa, barabara bora vijijini, huduma za afya bora vijijini, miradi mikubwa itamalizwa, maji safi kwa watanzania wengi na kadhalika. Faida za katiba mpya............mimi naona hasara tu za mchakato wa katiba mpya, mabillioni ya pesa yatatumika kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Akili kama hizi ndizo zinazoirudisha nyuma Taifa. Hizo mentioned zako zilikuwepo zinafanyika kabla ya UHURU.

Laiti ungezijua sababu za kudai UHURU usingepinga swala la katiba mpya.

Leo hii viongozi wamekuwa kama wakoloni wao ndio wanaamua na kupanga kila kitu pasipo kujiuliza wala kuwajali wananchi. Mfano wa Tozo wameamua na kuipitisha pasipokusikiliza maoni ya wananchi.

Sio kila jambo linajadiliwa kwa engo ya kichama au ushabiki, sometimes you have to face reality
 
Asipokuelewa hapa basi ameshindikana
 
Watuonyeshe maswali walio uliza kwenye utafiti huo wa kisomi. Watu wengine hatuelewi Katiba Mpya ni nini na itatuletea maendeleo yapi? Kaziendelee inaeleweka - madarasa yatajengwa, barabara bora vijijini, huduma za afya bora vijijini, miradi mikubwa itamalizwa, maji safi kwa watanzania wengi na kadhalika. Faida za katiba mpya............mimi naona hasara tu za mchakato wa katiba mpya, mabillioni ya pesa yatatumika kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Low minds ndivyo wanavyofikiria. Ukimwuliza low mind nikupe nini, nikulipue ada ya chuo, ukasome au nikupe magunia ya udaga, atachagua udaga.

Hayo uliyoaandika ni uthibitisho kuwa uwezo wako wa tumbo umefifisha uwezo wa kichwa.
 
Weka hapa ripoti yao tuidadavue...sample population yao pengine ni mkutano wa viongozi wa Chadema
Umezaliwa lini?

Ile report ya Jaji Warioba, iliyotokana na wajumbe kuzunguka nchi nzima, wakikutana na makundi yote ya jamii za Watanzania, ilionesha kuwa watanzania wengi wanataka katiba mpya. Hata wale ambao hawakusema moja kwa moja kuwa wanataka katiba mpya, mambo waliyoyataka yawekwe kwenye katiba, tafsiri yake ilikuwa ni lazima utengeneze katiba mpya.

Kwa hiyo, hii report ya TWAWEZA, ni uthibitisho wa yale tunayoyajua kupitia Tume ya katiba mpya ya Jaji Warioba.
 
Umezaliwa lini?

Ile report ya Jaji Warioba, iliyotokana na wajumbe kyzunguka nchi nzima, wakikutana na makundi yote ya jamii za Watanzania, ilionesha kuwa watanzania wengi wanataka katiba mpya. Hata wale ambao hawakysema moja kwa moja kuwa wanataka katiba mpya, mambo waliyoyataka yawekwe kwenye katiba, tafsiri yake ilikuwa ni lazima utengeneze katiba mpya.

Kwa hiyo hii report ya TWAWEZA, ni uthibitisho wa yale tunayoyajua kupitia Tume ya katiba mpya ya Jaji Warioba.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
View attachment 1973448

Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS .

Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi .
Ccm na viongozi wake wanafikiri katiba mbaya iliyopo sasa itawaumiza wengine. Ipo siku watajuta kwamba hawakuandaa katiba nzuri kwa ajili yao na watoto wao!
 
Back
Top Bottom