TWEET REQUST-Eneka ya Diamond Platnumz

TWEET REQUST-Eneka ya Diamond Platnumz

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
0d6efbde17f6ba8745efd57cbaaa4cbb.jpg

Nenda kwenye twitter comment Hash Tag nyimbo ya Eneka by Diamond Platnumz kwenye account za @Mtvbaseafrica @Mtvbaseeast.
 
Kwa kawaida hua nampigia kura msanii yeyote ambaye atashindana nje ya Tanzania.
Mzee wa Eneka umetoa ngoma 3 mfululizo na zote zimebounce, hii ya tatu hadi kwenye video umeamua kukata viuno[emoji23]. Sikumbuki mara ya mwisho kukuona unakata viuno kwenye kideo ni lini.

Kura yangu umepata lakini.
 
Jamani hiyo request unaomba kama unataka nyimbo fulani ichezwe, sasa hapa nyimbo unataka wewe alafu unataka sisi tukusaidie kuiomba, wengine wanayo kwenye simu, computer. We pambana na request yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du, maisha haya! kweli kuna kupanda na kushuka!

Leo mashabiki wa Mondi wanakuja kuomba huruma ya kupigiwa kura ili kupublicise wimbo? Ilikuwa jamaa akitoa ngoma enzi hizo ilikuwa habari ya Africa kama sio dunia! leo?

Halafu, kama wimbo huo angaliutoa kabla ya Davido ungalikuwa mkubwa sana. Lakini vyovyote vile, watu wataona amecopy na kuupuza tu.
 
Back
Top Bottom