Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Hv unajua kwa nini yule dogo anaeonesha dinga za bei kali zilizopo Tz walimkamata?

Yule ana page yake ila wakaingia hofu anachimba sana maana akiona gari kali lazima aifuatilie kuunda content, na ukizifuatilia hizo gari zinapoishia ni huko masaki kwenye hizo apartments wanamofanyia ujinga wao, so dogo wakamkamata mapema kujilinda nadhan mlisikia kabisa dogo alitekwa mchana kweupe.
 

cocastic again πŸ™Œ
 
Naelewa hao versatiles.

Point yangu ilikua ni hakuna clear line kati ya watu wanaojiidentify kama tops na bottoms, elewa tofauti hapo. Yaan mtu publicly anaweza sema yeye ni top ila kiukweli yeye pia anabottom sometimes ambae kwa maana yako ndio versatile.

Na ilifanyika study kabisa nitakuwekea link hapa, na juu niliokosea sio 2 out of 30 ni 28 out of 30 ambao ni self indetified kama tops nao kuna muda wanatombwa. Usipingane na study za wazungu binti sabb hata huo ushoga mmewaiga haohao wazungu. Kiufupi hio pure top unayoongelea ni theoretical tu lakini in practice hakuna hicho kitu, wengi ni verses.

Ndipo nakuleta kwenye point yangu, huyo dully kaonesha tweet za kufira wenzake toka 2011 that means in btn hapo atakua nae alishawekwa mashine tena akaililia kama unavyoililia wewe
 
Yaan mtu akiwa anakula na kuliwa huyo sio Top wala bottom, ni VERSATILE.

narudia Tops pure wako, na bottoms pure wako pia.

Labda hujataka kunielewa, sijakukatalia kuwa Verse kuji identify km T pale anapoona fursa kwa T, ila nachokataa kusema eti hakuna Tops pure ktk industry,

Huko Ulaya wao wameshazoea kulana zam zam, ila huku Africa, kuna m1 lazima a act km Ke, na mwingine km Me, ndo unakutana na TOPS & BOTTOMS. thou VERSATILES pia wapo.

Sijagusia hawa Bisexual Tops, hawa wengi ni waume za watu na wana familia zao, au wako na wanawake na pia Bottoms.

Kwa kifupi Clear line ipoo, tena rahisi kabisaa.
 
Fani yako hii, wewe ni yupi kati ya hizo categories?
 
Tusitoke nje ya point,

point ni Dully Anafirwa.

Kuna tweet hapo kabisa anasema "Lets ride" inaonekana ni fundi wa kuikatikia kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…