Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Ewaaaaah!!

Ndo maana kila siku, nilikua nasikia Dully ni mdau, eti anakula, nikawa nashangaa, mbona sioni mlaji pale, zaidi ya mlwaji.

Watu wana moyo kudate na versatile, kabisaa ukunje 7 kwa mtu ambaye nae anakunjwa 7? Labda mkutane wote versatile, sio B pure ajichanganye kwa Verse.
😂😂😂😂😂 nachoka mie mpwa wa clemency mwandambo. Lol.
Aaanha hapa nimeelewa,
So kuna kabeef kachini chini kati ya B na V sababu mwisho wa siku wote wanakunjwa na T, hehehe haloooooooooooooo
 
Vanessa alimkimbia jux, baada ya kukuta wanashare bwana, tena wa mjengoni,

Anakuja kustukaa kumbe jux ni mke was mkurugenzi wa Hyatt regency, mke mwenza na Nedy music.

Akaona akimbie mazimaa, 😂😂😂😂😂
Hiyo ndio KAZI ya Sanaa Sasa ✌️
 
Aaanha hapa nimeelewa,
So kuna kabeef kachini chini kati ya B na V sababu mwisho wa siku wote wanakunjwa na T, hehehe haloooooooooooooo
Kweli B na V hajawahi pendana na hawapendani hata kdg,
Tena ni beef haswaa mbona, ila wanatulizwa na T.

Sahivi industry imechakachuliwa hadi Co poa, misago mingi inajifanya Top, kumbe verse.

Bottoms Wajanja wanazamia kwa straight na kuwageuza Tops, kuliko kukobolewaa.
😂😂😂😂😂😂😂.
 
Japo ni kweli 💯 ila hapana shaka tushatolewa kwenye reli.

Haidhuru itampa aibu kiasi gani vile wapo madarakani muhimu ni kupunguza tension.
Not that easy. Yaani kashifa hii kubwa ni ya kutoa watu kwenye reli au wanamwagia moto petrol
 
Back
Top Bottom