Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Kweli B na V hajawahi pendana na hawapendani hata kdg,
Tena ni beef haswaa mbona, ila wanatulizwa na T.

Sahivi industry imechakachuliwa hadi Co poa, misago mingi inajifanya Top, kumbe verse.

Bottoms Wajanja wanazamia kwa straight na kuwageuza Tops, kuliko kukobolewaa.
😂😂😂😂😂😂😂.
Hahahahha nimecheka hiyo kukobolewa, kweli mambo ni 🔥🔥🔥
 
so ive heard hata kwa yule dada named rachel dangwa saying this guy’s into mens b*tth*les, women also
 
Hahahahha nimecheka hiyo kukobolewa, kweli mambo ni 🔥🔥🔥
Jamaniii nawaza kwa sauti, mtu unajitahidi kuonesha maufundi, unaonesha utundu ulivyofundwa, kumbe huyo mwenzio ana copy nae akamuoneshee mtu wake huko.

😂😂😂😂😂 hii ni zaidi ya UHAINI.
 
Jamaniii nawaza kwa sauti, mtu unajitahidi kuonesha maufundi, unaonesha utundu ulivyofundwa, kumbe huyo mwenzio ana copy nae akamuoneshee mtu wake huko.

😂😂😂😂😂 hii ni zaidi ya UHAINI.
Nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe Coca stop it! kumbe mjinga anacopy na yeye akaoneshe kwa bwana ake asifiwe shenzi kabisa, hapo sasa nazidi kuelewa hilo beef
 
Nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe Coca stop it! kumbe mjinga anacopy na yeye akaoneshe kwa bwana ake asifiwe shenzi kabisa, hapo sasa nazidi kuelewa hilo beef
😂😂😂😂😂
Industry ina heka heka hii hatariii, njegeka za kushatooo.
Eti kweli anakuchora wee, akitoka hapo mbio kwa bwana ake, "babe leo nataka nikufurahishe" kumbe mwizi wa maujuzi ya watu.

Kheri ya fulaniii, ana bwana ake toka wako kindergarten hadi leo hii, bwana ni bwana kwelii.
Futuhi za mikoboano, anazisikia kwa wenginee.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mashoga ukiwaangalia wanajulikana hilo liko wazi kwa wale vijana wa Vacation
Sijui kwanini, Mtu anayeingiliwa, hata awe mkavu vipi, au ajizuie vipi, bado kuna sehemu ataonesha tUuh kuwa ni chakulaaa.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom