Yaan mtu akiwa anakula na kuliwa huyo sio Top wala bottom, ni VERSATILE.
narudia Tops pure wako, na bottoms pure wako pia.
Labda hujataka kunielewa, sijakukatalia kuwa Verse kuji identify km T pale anapoona fursa kwa T, ila nachokataa kusema eti hakuna Tops pure ktk industry,
Huko Ulaya wao wameshazoea kulana zam zam, ila huku Africa, kuna m1 lazima a act km Ke, na mwingine km Me, ndo unakutana na TOPS & BOTTOMS. thou VERSATILES pia wapo.
Sijagusia hawa Bisexual Tops, hawa wengi ni waume za watu na wana familia zao, au wako na wanawake na pia Bottoms.
Kwa kifupi Clear line ipoo, tena rahisi kabisaa.