Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Najuaga ni kwenye mpira uku kumeoza kutokana na kufungiwa kambi mda mrefu
Afu mbna kwenye mpira, naona sio sanaa.
Heka heka za kandanda na kabumbu, hata nyege zinakuwepo kwanii?

Afu kulee wengi Tops na versatile, B wa kutafuta yaan.
 
Vanessa alimkimbia jux, baada ya kukuta wanashare bwana, tena wa mjengoni,

Anakuja kustukaa kumbe jux ni mke was mkurugenzi wa Hyatt regency, mke mwenza na Nedy music.

Akaona akimbie mazimaa, 😂😂😂😂😂
Ivi haya mambo huwaga ni ya kweli? Dada
 
Hv unajua kwa nini yule dogo anaeonesha dinga za bei kali zilizopo Tz walimkamata?

Yule ana page yake ila wakaingia hofu anachimba sana maana akiona gari kali lazima aifuatilie kuunda content, na ukizifuatilia hizo gari zinapoishia ni huko masaki kwenye hizo apartments wanamofanyia ujinga wao, so dogo wakamkamata mapema kujilinda nadhan mlisikia kabisa dogo alitekwa mchana kweupe.
Duh hatari hii
 
Dah! Kuna wakati mwingine unaweza usiamini unachokiona. Anyway, kama alikuwa ana mienendo hiyo natumaini kaacha au anapambana kuacha. Ni kweli account ni yake.
 
Back
Top Bottom