Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
SawaKaribuni katika uzi huu, lengo na nia ni kuweka tweets mbalimbali za wabongo kutoka twitter, ambazo zinaweza zikawa za kufikirisha, kushauri, kufurahisha na hata kupongeza!
Naanza na hii...
View attachment 1467973
Usisahau na zile tweets zake za enzi zile IFM[emoji19][emoji19]
Mpwa hii ni challenge mpya[emoji40] haya share picha yenye gloves na msk harakaNa tweets za "wapwa kuinuana" zinaruhusiwa, au ni za "mabloo" tu????
😅 hayo nawaachia wenyewe mpwa.Mpwa hii ni challenge mpya[emoji40] haya share picha yenye gloves na msk haraka
Mpwa hii ni challenge mpya[emoji40] haya share picha yenye gloves na msk haraka
Usisahau na zile tweets zake za enzi zile IFM[emoji19][emoji19]
Humu hamna followersNa tweets za "wapwa kuinuana" zinaruhusiwa, au ni za "mabloo" tu????
Kakwambia nani hivyo??Humu hamna followers