Twende kazi

Twende kazi

Kiroho Safi kabisa mama rhobi atatii amri😁😁...Sasa wewe weka baby baby tujifungie ndani siku nzima,ikifika saa kumi na moja njaa zinaanza huna hata ya kununua dagaa,ndio utajua baba Rhobi ana umuhimu gani
Tuliambiwa😂 "ishi nao kwa akili"
Hao kina baba robhi ndio wanachapiwa na bodaboda mabishoo
 
Back
Top Bottom