Twende kazi!!

Huyo mtu ambaye upo naye kwenye mahusiano kwasasa akisema muachane utasemaje?
Poa tu kwani nimezaliwa naye??au mimi.ndo niliyemtoboa hili tundu analoringia??fresh tu maana sijamvunja bikra kashatumika sana,kwaiyo hata sitaumia wala nini,nimeacha ziwa la mama yangu sembuse yeye,hakuna mapenzi ya kweli kama huna pesa yote tulio na wapenzi ni ubatili tu hakuna mapenzi mpenzi wa kweli ni pesa ndugu
 
Aseme nikimtafuta siku mbili tu hewani asipopatikana ndo imeisha hiyo.
 
Yanmani unichezee halafu nw uniache ghafla sikubali naenda police au la nipe hela kama laki na nusu hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…