otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Huyo mtu ambaye upo naye kwenye mahusiano kwasasa akisema muachane utasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa tu kwani nimezaliwa naye??au mimi.ndo niliyemtoboa hili tundu analoringia??fresh tu maana sijamvunja bikra kashatumika sana,kwaiyo hata sitaumia wala nini,nimeacha ziwa la mama yangu sembuse yeye,hakuna mapenzi ya kweli kama huna pesa yote tulio na wapenzi ni ubatili tu hakuna mapenzi mpenzi wa kweli ni pesa nduguHuyo mtu ambaye upo naye kwenye mahusiano kwasasa akisema muachane utasemaje?
Karibu JF.....ha haaaaaaa haaaaaaaaaaa.Huyo mtu ambaye upo naye kwenye mahusiano kwasasa akisema muachane utasemaje?