Twende ki military lingo.......!!!!

Twende ki military lingo.......!!!!

alpha one hold fire hold fire man downnnnnnnnnnn need backup hehehe movie za kivita raha sana
 
alpha one hold fire hold fire man downnnnnnnnnnn need backup hehehe movie za kivita raha sana
Coy that black phoenix, sit tight QRF team is on their way to give u backup. Give us your twenty
 
Hii mada inaongeza nini kwenye uelewa wa wananchi katika taifa masikini na linaloota ndoto za viwanda kama tanzania ya mkulu?
Kwa sheria ya mitandao na vyombo vya habari hasa hii mitandao ya kijamii naona kama munaichomea jf yetu ifungiwe kwa kigezo cha kufundisha mafunzo ya kivita kwa wananchi ambao kesho watakuwa magaidi.
 
Sijui unaelewa unachomaanisha au unamaanisha unachokielewa?
 
Mike Alpha Mike Bravo Oscar Victor Papa India November Alpha Kilo Uniform Alpha Juliett Echo Whiskey Alpha Kilo Uniform Uniform

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Nyie wote ni wapenzi wa series ya strike back...sasa naomba mnitafsirie pale anaposema "on your twenty" mara "on your six"...na "two clicks"....mi huwa siwaelewi apo.
I think ni pembe za dunia...N-S-E-W
 
"All teams, do you copy? This is alpha one, I got visual on the package. I repeat, I got visual on the package. He is heading N-N-W just few clicks from the rendezvous point bearing 90°.Is the mission a go?
Dah...hii JWTZ kweli?? Japo nilikuwa fundi viatu wa jeshi lakini hii kitu sikuwahi kusikia hadi nastaafu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom