Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Tango downTarget down...
Series inaitwaje hiyo....Hata Mimi naitazama season five nipo pale Andrew anamlilia demu wake na jodhi alafu mei anenda kwenye ndege kukimbilia north Korea episode ndo imeisha,sasa wanaingia north Korea wakijifanya wao ni wajenzi wa reli
STRIKE BACKSeries inaitwaje hiyo....
Inaelekea ni kali balaa
kale kanafunzi kachuo kamepewa deal kanasema sana...kaoga hata kuruka dirisha hakaweziKale kadogo kanako decode kanaongea balaa sijui ni karusi ila kasnitch
NomaBad guy-tango
Good guy(wenzako)- leo
Ni mara chache sana kusema target. Huwa ni "tango down"......2 tangos on ur 8. Na kama mkiwa na specific target anakua na codename yake
Rig the wall with C4 phoenix, thats your new mission. We are supposed to breach in and eliminate the targetL
Hii mada inaongeza mimba kwa mamayako azae toto jingine jinga kama wewe.
Phoenix out. I repeat out OvA
Hahah, jw ni : tumepigwaaaa...Dah...hii JWTZ kweli?? Japo nilikuwa fundi viatu wa jeshi lakini hii kitu sikuwahi kusikia hadi nastaafu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Thats affirmativeAlpha one tanesco wamekata umeme and my battery is low,I repeat battery low please send me the QRF over and out
Holdon snake doc, give me sitrepBig Duke big duke do yo copy?We have 2 KIA 3 MIA.
HahahDaah...Risasi zimekwishe kwahiyo afungue Singe....
Rig the wall with C4 phoenix, thats your new mission. We are supposed to breach in and eliminate the target
Hahaha *GeoMex*Dawa imeingia. The point is usivamie yasiyokuhusu. Kukaa kimya pia ni busara
Situation Report ...Holdon snake doc, give me sitrep
Hahaha worst case scenarioAmekanyaga detonetor. Na iko na C4 kilo 5. Nilishaunganisha hadi na blasting cap
Mzee kajipitisha kwenye Mine farm halafu kuna booby Traps za kutoshaAmekanyaga detonetor. Na iko na C4 kilo 5. Nilishaunganisha hadi na blasting cap
Booby traps ni noma sanaMzee kajipitisha kwenye Mine farm halafu kuna booby Traps za kutosha
Heshma ichukuwe mkondo wake hunipi bure naichukuwa kwa mabavu... Roger that bitch ass tango my ass.
Halafu unajua zile huwezi kuzigundua maana zinakuwa camouflage na mazingira....Booby traps ni noma sana