Twende mbele na kurudi nyuma, ilikuaje na wapi Karia alitamka maneno haya? Yananikwaza sana

Twende mbele na kurudi nyuma, ilikuaje na wapi Karia alitamka maneno haya? Yananikwaza sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje?

Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau.

Hili ni neno la kukwaza sana. Hawa wanyama ndiyo limekuwa tusi lao kubwa. Ni aibu hata kulitamka kwa watu.
 
Back
Top Bottom