Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Unataka kusema wa sasa anaigiza kwenye dini?Ni dhahiri kuwa nchi yetu inahitaji kitu kipya. Inahutaji mtu msikivu mcha Mungu na kijana.
Mwenye kujua dini na sio kuigiza.
Haye twende na January 2020