Tetesi: Twende Na January 2020

Ni dhahiri kuwa nchi yetu inahitaji kitu kipya. Inahutaji mtu msikivu mcha Mungu na kijana.
Mwenye kujua dini na sio kuigiza.

Haye twende na January 2020
Unataka kusema wa sasa anaigiza kwenye dini?
 
Hakuna kitu kibaya kama kukosa msimamo.Watu wanaenda na upepo wakisikia Lissuu 2020 wanafata mara Membe 2020 Mara January 2020.Wanasiasa na system wanacheza na akili zenu.Kila lisemwalo wanamaanisha.Rais ni Magufuli mpaka 2025 someni upepo
 
Wasambaa Bwana kwakupigiana chapuo!!!
Watu wamekwisha chagua kwenda na Membe upande wa Ccm na CDM wapo na captain Lisu
Hakuna kitu kibaya kama kukosa msimamo.Watu wanaenda na upepo wakisikia Lissuu 2020 wanafata mara Membe 2020 Mara January 2020.Wanasiasa na system wanacheza na akili zenu.Kila lisemwalo wanamaanisha.Rais ni Magufuli mpaka 2025 someni upepo
Farazuu upo sahihi kabisa,watu wengine wanakubwa na upepo hawajui hata nini wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…