Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Weka kauli yoyote ambayo uliwahi kuiona inayoendana na huyu paka kauzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅🙏🙏🙏Kaniitie dada yako!.. mi nikaenda kumuita baba akafurumushwa kesho yake nikakutananae mtaani! Ndo siku niliyojua Kuna aina tofauti tofauti za milio ya makwenzi!.
Nipakulie wali wa mia 3 bila mboga ila kwa kutumia mwiko uliopakulia mchuzi 😂😂😂aisee nilicheka sana walahi!
Aliegundgua hii comedy ajengewe kisanam chake aisee😅😅😅Nipakulie wali wa mia 3 bila mboga ila kwa kutumia mwiko uliopakulia mchuzi 😂😂😂aisee nilicheka sana walahi!
😂😂😂 wamempumzisha yule kinyonga wa kijaniNikopeshe effu10 kama huna nipe elfu3 hiyo elfu7 nitakudai