Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
π π π πππKaniitie dada yako!.. mi nikaenda kumuita baba akafurumushwa kesho yake nikakutananae mtaani! Ndo siku niliyojua Kuna aina tofauti tofauti za milio ya makwenzi!.
Nipakulie wali wa mia 3 bila mboga ila kwa kutumia mwiko uliopakulia mchuzi πππaisee nilicheka sana walahi!
Aliegundgua hii comedy ajengewe kisanam chake aiseeπ π πNipakulie wali wa mia 3 bila mboga ila kwa kutumia mwiko uliopakulia mchuzi πππaisee nilicheka sana walahi!
πππ wamempumzisha yule kinyonga wa kijaniNikopeshe effu10 kama huna nipe elfu3 hiyo elfu7 nitakudai