Uchaguzi 2020 Twende na Tundu Lissu October 28

Labda muende mkalale nae hahaha
 
Kwani huyo unayemsifu pesa anatoa mfukoni mwake? Pesa zote ni za wananchi hivyo lissu ataratibu tu kama huyo Mr. Misifa anayedhalilisha watu majukwaani.
Sawa mlevi wa Lissu Lager!
 
Kwani fedha zilizojenga AirPort Chato na kupeleka wanyama chato mlizitoa wapi????

Kwani Kikwete aliyekuwa anaongeza mshahara kila mwaka alikuwa anatoa wapi hela???!
Sawa subirieni huyo Lissu awe raisi basi muone kama ni rahisi.
 
Kwamba TL hela za kulipa hao watu yeye atazitoa Mfukoni mwake? Ama ndio tutarudishana zama za wananchi kuomba serikali ipeleke hela za miradi kisha wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuzitafuna bila huruma huku wananchi wakizidi kulia?
Wewe jamaa Extrovert nilikuwa nakuchukulia akili kubwa kumbe hola! Futa hii post inakudhalilisha.
 
Kazi kubwa iliyopo ni kwa wapinzani kulinda kura ushindi wao.
 
Kwamba TL hela za kulipa hao watu yeye atazitoa Mfukoni mwake? Ama ndio tutarudishana zama za wananchi kuomba serikali ipeleke hela za miradi kisha wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuzitafuna bila huruma huku wananchi wakizidi kulia?
Kwani yule mjenga madaraja , mafly over ,ndege za chato pesa yy alizitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…