Uchaguzi 2020 Twende na Tundu Lissu October 28

Uchaguzi 2020 Twende na Tundu Lissu October 28

1. Wafanyakazi wote wa umma hata mashirika binafsi twende na Tundu

2. Wote waliolazimisha kurejesha mkopo wa HSLB 15% badala ya 8% ilokuwepo kwenye mkataba Oct .28 Twende na Tundu Lissu

3. Wafanyakazi wote ambao wakifukuzwa kazi kwa madai ya vyeti fake hawakulipwa pesa zao za mifuko ya hifadhi ya Jamii Oct 28 Twende na Tundu Lissu

4. Wastaafu wote mliostaafu is toka 2016 hamjalipwa kiinua mgongo chenu mpaka sasa Octoba 28 Twende na Tundu Lissu.

5. Watanzania wote walobomolewa nyumba zao bila malipo. Oct 28 twende na Tundu Lissu

6. Watanzania wote wakobambikizwa mikesi ya uhujumu uchumi Oct 28 twende na Tundu Lissu

7. Wakina mama na dada wote ambao wamechoka kudhalilishwa majukwaani. Oct 28 twende na Tundu Lissu.

8. Maras wastaafu wote mlijaribu k

Labda muende mkalale nae hahaha
 
Kwani fedha zilizojenga AirPort Chato na kupeleka wanyama chato mlizitoa wapi????

Kwani Kikwete aliyekuwa anaongeza mshahara kila mwaka alikuwa anatoa wapi hela???!
Sawa subirieni huyo Lissu awe raisi basi muone kama ni rahisi.
 
Kwamba TL hela za kulipa hao watu yeye atazitoa Mfukoni mwake? Ama ndio tutarudishana zama za wananchi kuomba serikali ipeleke hela za miradi kisha wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuzitafuna bila huruma huku wananchi wakizidi kulia?
Wewe jamaa Extrovert nilikuwa nakuchukulia akili kubwa kumbe hola! Futa hii post inakudhalilisha.
 
Kazi kubwa iliyopo ni kwa wapinzani kulinda kura ushindi wao.
 
Kwamba TL hela za kulipa hao watu yeye atazitoa Mfukoni mwake? Ama ndio tutarudishana zama za wananchi kuomba serikali ipeleke hela za miradi kisha wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuzitafuna bila huruma huku wananchi wakizidi kulia?
Kwani yule mjenga madaraja , mafly over ,ndege za chato pesa yy alizitoa wapi
 
Back
Top Bottom