Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
.... Defense ya Yanga hii chini ya ulinzi wa Yannick Bangala iliruhusu magoli (7) pekee msimu mzima uliopita kwenye ligi kuu.
1 - Djigui Diarra
2 - Djuma Shabani
3 - Kibwana Shomari
4 - Dickson Job
5 - Bakari Mwamnyeto
6 - Yannick Bangala.
Namuelewa kocha Nabi,, Anamchezesha Bangala beki wa kati ili viungo wengine wapate nafasi ya kucheza kikosini, Well [emoji119]
Lakini Bangala ndiye aliyekuwa muhimili mkubwa wa kufuta makosa ya mabeki alipokuwa akicheza eneo la kiungo mkabaji.
Bangala anaipa balance nzuri timu akicheza namba (6) kuliko kiungo yoyote pale Yanga. Namba sita ni ya Bangala Believe me.
Ni heri viungo wengine wakae benchi ili Bangala acheze sita (6).
Pia mfumo wa kucheza na mabeki (3) wa kati kocha Nabi alioanza nao dhidi ya Ruvu na Coastal Union (FA) haujawaingia Wachezaji wa Yanga, hatakiwi kuutumia kwa sasa.
Partnership hii pale nyuma kocha hapaswi kuibomoa, akikosekana mchezaji iwe kwa majeraha sio kwa kuamua tu.
1 - Diarra / Mshery
2 - Djuma Shabani
3 - Kibwana Shomari
4 - Dickson Job
5 - Mwamnyeto
6 - Yannick Bangala
Leo Mwamnyeto anaonekana kapyaya, Diarra vilevile,, Hii ni kwa sababu aliyekuwa anafuta makosa kabla ya defense ya Yanga kufikiwa hayupo kwenye eneo alilopaswa kuwa.
Bigirimana ni namba (6) mpole, hana kazi chafu hivyo ni rahisi kupitwa na kufanya defense ifikiwe kwa haraka.
Bigirimana ni Bonge la mchezaji timu ikimiliki mpira, thinking capacity yake ni kubwa, ana vision nzuri ya kupeleka mpira eneo sahihi, accuracy yake ya pasi ni bora sana ila sio katili kwenye kukaba.
Bigirimana akicheza (8) utaenjoy soka.
Namba (6) halisi Yanga ni Yannick Bangala na Zawadi Mauya, hawa huwa wanakata umeme.
WINNING TEAM NEVER CHANGE [emoji419]
#TOMCRUZ