Prof_Adventure_guide
Member
- Dec 21, 2023
- 96
- 183
Hiyo gharama itajumuisha shughuli zote kuanzia usafiri mpaka utalii wenyewe wa malisho ya wanyama pori, karibuni sanaMkuu ungeweka na ingredient nyingine kuelezea hiyo 780 ita include vitu gani? Mostly activities za huko
Haya maelezo ungeweka kwenye hiyo posterHiyo gharama itajumuisha shughuli zote kuanzia usafiri mpaka utalii wenyewe wa malisho ya wanyama pori, karibuni sana
Kadri watu wanavyozidi ndivyo gharama zinapungua lakini kwa Couple moja ni 850k simple price, hii ni ofa ya wawili, wewe na mwenza wakoTangazo linasema price ni 780k, wewe unatuambia 850k, hili ongezeko la 70k ni VAT ama!?? 😂🤣
Asante kwa kunielewesha 🙏🏾Haya maelezo ungeweka kwenye hiyo poster
Asante kwa taarifaNenda mwenyewe hatutaki