nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Usikatishwe tamaa ndugu, wenye pesa watakuja hata kama hawaja comment hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani,waliojipata watakutafuta kwa cm na kupata taarifa zaidi na kuuliza maswali wanayotaka kuuliza.Asante kwa taarifa
1. Mimi ni Tour operator pia ni professional adventure guideKuna maswali mengi sana kwenye tangazo lako.
1.Kwanza wewe ni nani huko Serval wildlife?
2.Serval wildlife ni kitu gani?
3.Iko wapi?
4.Kwanini tuende huko?tutapata nini
adhi bnd5.Gharama kwenye maelezo yako unasema kwa mtu mmoja ni 850,000/=ila picha za pale juu ulizoweka inasema gharama kwa mtu mmoja ni 780,000/= hii maana yake nini?
6.Hiyo gharama inahusisha nini na nini??
Hivi kweli haya maswali yote unataka tujiulize kichwani na kujijibu wenyewe ilhali wewe ndio uneleta tangazo?
Kwakweli!Sasa hivi Jf ni kama choo cha umma.Usikatishwe tamaa ndugu, wenye pesa watakuja hata kama hawaja comment hapa.
Asante kwa taarifaMnachezea pesa bure tu
🙏Umeeleweka Mkuu.1. Mimi ni Tour operator pia ni professional adventure guide
2. Serval wildlife ni hifadhi ndigo ya wanyamapori wa kufugwa ambao wanaoweza kukaa na mtu yeyote na kulishwa kama mifugo mingine pia ni sehemu ya historia za wanyamapori na mimea ya malisho ya wanyamapori
3. Serval wildlife inapatikana mkoa wa Kilimanjaro 🇹🇿
4. Kwenda serval wildlife ni hiyari ya mtu yeyote anaevutiwa kukaa na wanyamapori na kujifunza kuhusu shughuli za wanyamapori zimavyofanyika. Pia gharama ya 850k ni kwaajili ya couple ya wapendanao ambapo watakuwa wawili lakini kwa mtu, mmoja binafsi ni 780k kama Tangazo linavyoeleza.
6. Gharama hizo zinahusisha shughuli zote kuanzia usafiri mpaka utalii wenyewe na vyakula pamoja na kuongozwa na wazoefu katika shughuli zipatikanazo serval wildlife.
Karibu sana!
Asante sana 🙏🏾🙏Umeeleweka Mkuu.
Safi mkuu upo vzr snKuna maswali mengi sana kwenye tangazo lako.
1.Kwanza wewe ni nani huko Serval wildlife?
2.Serval wildlife ni kitu gani?
3.Iko wapi?
4.Kwanini tuende huko?tutapata nini
5.Gharama kwenye maelezo yako unasema kwa mtu mmoja ni 850,000/=ila picha za pale juu ulizoweka inasema gharama kwa mtu mmoja ni 780,000/= hii maana yake nini?
6.Hiyo gharama inahusisha nini na nini??
Hivi kweli haya maswali yote unataka tujiulize kichwani na kujijibu wenyewe ilhali wewe ndio uneleta tangazo?
Mjomba, wewe sema tu huna hela.Nenda mwenyewe hatutaki
Asante mkuu,ila haya maelezo ulitakiwa kuyaweka mwanzoni katika tangazo lako,hukupaswa kusubiri tukuulize huku kwenye comments,sio kila mtu anaweza kuvumilia kuuliza maswali muhimu kama haya halafu asubiri majibu yako,tangazo lilipaswa kujitosheleza1. Mimi ni Tour operator pia ni professional adventure guide
2. Serval wildlife ni hifadhi ndigo ya wanyamapori wa kufugwa ambao wanaoweza kukaa na mtu yeyote na kulishwa kama mifugo mingine pia ni sehemu ya historia za wanyamapori na mimea ya malisho ya wanyamapori
3. Serval wildlife inapatikana mkoa wa Kilimanjaro 🇹🇿
4. Kwenda serval wildlife ni hiyari ya mtu yeyote anaevutiwa kukaa na wanyamapori na kujifunza kuhusu shughuli za wanyamapori zimavyofanyika. Pia gharama ya 850k ni kwaajili ya couple ya wapendanao ambapo watakuwa wawili lakini kwa mtu, mmoja binafsi ni 780k kama Tangazo linavyoeleza.
6. Gharama hizo zinahusisha shughuli zote kuanzia usafiri mpaka utalii wenyewe na vyakula pamoja na kuongozwa na wazoefu katika shughuli zipatikanazo serval wildlife.
Karibu sana!
🙏Umeeleweka Mkuu.
Asante sana mkuuSafi mkuu upo vzr sn