Twende serval wildlife tukaenjoy na wenza wetu

Usikatishwe tamaa ndugu, wenye pesa watakuja hata kama hawaja comment hapa.
 
1. Mimi ni Tour operator pia ni professional adventure guide
2. Serval wildlife ni hifadhi ndigo ya wanyamapori wa kufugwa ambao wanaoweza kukaa na mtu yeyote na kulishwa kama mifugo mingine pia ni sehemu ya historia za wanyamapori na mimea ya malisho ya wanyamapori
3. Serval wildlife inapatikana mkoa wa Kilimanjaro 🇹🇿
4. Kwenda serval wildlife ni hiyari ya mtu yeyote anaevutiwa kukaa na wanyamapori na kujifunza kuhusu shughuli za wanyamapori zimavyofanyika. Pia gharama ya 850k ni kwaajili ya couple ya wapendanao ambapo watakuwa wawili lakini kwa mtu, mmoja binafsi ni 780k kama Tangazo linavyoeleza.
6. Gharama hizo zinahusisha shughuli zote kuanzia usafiri mpaka utalii wenyewe na vyakula pamoja na kuongozwa na wazoefu katika shughuli zipatikanazo serval wildlife.

Karibu sana!
 
🙏Umeeleweka Mkuu.
 
Safi mkuu upo vzr sn
 
Asante mkuu,ila haya maelezo ulitakiwa kuyaweka mwanzoni katika tangazo lako,hukupaswa kusubiri tukuulize huku kwenye comments,sio kila mtu anaweza kuvumilia kuuliza maswali muhimu kama haya halafu asubiri majibu yako,tangazo lilipaswa kujitosheleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…