Twende taratibu: JWTZ wasije wakanogewa na “Matamko” na kuwashangaza akina Msigwa na chawa wengine. Muda mwalimu mzuri

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Haya matamko ya JWTZ mfululizo hivi mbona hayajawahi kuwepo kabla; yanakuwa mengi kupitiliza and so it leads someone to wonder, kwamba hali ya nchi ni tete kiasi gani hadi kuwalazimu JWTZ kutoka hadharani kila siku “kutufokea”?

Je, kuna Udhaifu au Ombwe la Uongozi katika Serikali na vyombo vyake ambalo Jeshi wanaona ni lazima kulijaza??

Kwa hali hii, mwenye akili yeyote anaweza kudhani pengine kuna kitu more serious brewing up inside than catches the eye, hii siyo kawaida.

Kwa mfano, kwa tamko la leo, kulikuwa na haja yeyote kwa JWTZ kuwataja Polisi kwenye Taarifa yao???

Raid Samia mara nyingi amesikika akisisitiza kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi yeye ndiye Amiri Jeshi”; sasa hiyo kauli yake kwani HAITOSHI? hadi kuwalazimu JWTZ nao kutoka hadharani kila wiki kusema wanafuatilia hali ya kisiasa ilivyo nchini???

Kama Amiri Jeshi akishasema kuwa hali ya Usalama wa nchi ipo shwari na kwamba yeye yupo Imara, kuna haja gani tena kwa JWTZ nao kuja na Taarifa kwa Umma kuhusu jambo hilo hilo??

Katika hizi missteps zote za Jeshi yupo Waziri Mama Nshomile, Stergomena Tax; huyu niwaambie leo kuwa hana heshima yoyote mbele ya Wapiganaji tangu ile fedheha ya Goma mwanzoni mwa mwaka huu. Lakini kwa kuwa Mama alishasema yeye ni Chura kiziwi na kwa kuwa kipaumbele ni kula kwa urefu wa kamba na wala siyo kuongoza basi wacha iendelee kunyesha tujue panapovuja.

Kwa jicho la tatu, hizi taarifa za JWTZ zinaacha mwanya kufikiri kuwa Upepo unaweza kuvuma kuelekea popote.

Cha kushangaza, CCM na machawa wanadhani haya matamko ya JWTZ hayawahusu wao🙌🏽

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Afrika.
 
downloadfile-24.jpg
 
Kwa hali hii, mwenye akili yeyote anaweza kudhani pengine kuna kitu more serious brewing inside than catches the eye, hii siyo kawaida.

Mange anasema leo wanajeshi wote wameingizwa pesa ambazo hazina maelezo ili kuwalainisha wasipindue nchi.

Kama kweli jambo hilo limefanyika basi ni hatari sana kwa Samia.
Maana wakihitaji tu pesa watakuwa wanapiga mkwala ili wapewe zingine nyingi zaidi.
Inakuwa kama "blackmail".Tabia hiyo huwa haishi hadi upande mmoja afariki dunia.

Blackmailer huwa anadai apewe tena na tena
 
Ni mishahara imelipwa wiki moja kabla
 
Ile ya Goma 🙌🙌
 
Cha kushangaza, CCM na machawa wanadhani haya matamko ya JWTZ hayawahusu wao[emoji1430]

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Afrika.
Hatuwezi jua pengine wanaombwa/bembelezwa kuja kusema chochote ili angalau nafsi za hao wanaolalamikiwa zitulie. Lakini ki uhalisia hawa si watu wa matamko wala nyaraka. Wanapokuja public inabidi kila mmoja awe atention kuwasikiliza maana lazima kuwa na kitu serious sana.

Inashangaza kuja hadharani kuwapongeza polisi wakati polisi wana mkubwa wao. Sasa IGP amejisikiaje?
 
Mange anasema leo wanajeshi wote wameingizwa pesa ambazo hazina maelezo ili kuwalainisha wasipindue nchi.

Kama kweli jambo hilo limefanyika basi ni hatari sana kwa Samia.
Maana wakihitaji tu pesa watakuwa wanapiga mkwala ili wapewe zingine nyingi zaidi.
Inakuwa kama "blackmail".Tabia hiyo huwa haishi hadi upande mmoja afariki dunia.

Blackmailer huwa anadai apewe tena na tena
Na ndivyo ilivyo; mwaka huu walimpelekea madai wakihitaji Maofisa Wakuu wa Jeshi kuanzia cheo cha Brigedia Jenerali wawe na stahiki sawa na Viongozi wa Kisiasa kama Rais, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, na Waziri Mkuu wanapostaafu:

Maafisa Wakuu wa jeshi sasa wanapostaafu, wanapokea 80% ya mshahara wa active officers, wanapewa gari moja yenye hadhi sawa na ya active officers, na watumishi watano wanaolipwa na serikali; na huu utaratibu unatekelezwa retrospectively….waliokwisha kustaafu kabla ya utaratibu huu pia wananufaika nao pasipo kujali lini walistaafu.
 
Haya matamko ya JWTZ mfululizo hivi mbona hayajawahi kuwepo kabla; yanakuwa mengi kupitiliza and so it leads someone to wonder, kwamba hali ya nchi ni tete kiasi gani hadi kuwalazimu JWTZ kutoka hadharani kila siku “kutufokea”?

Je, kuna Udhaifu au Ombwe la Uongozi katika Serikali na vyombo vyake ambalo Jeshi wanaona ni lazima kulijaza??

Kwa hali hii, mwenye akili yeyote anaweza kudhani pengine kuna kitu more serious brewing up inside than catches the eye, hii siyo kawaida.

Kwa mfano, kwa tamko la leo, kulikuwa na haja yeyote kwa JWTZ kuwataja Polisi kwenye Taarifa yao???

Raid Samia mara nyingi amesikika akisisitiza kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi yeye ndiye Amiri Jeshi”; sasa hiyo kauli yake kwani HAITOSHI? hadi kuwalazimu JWTZ nao kutoka hadharani kila wiki kusema wanafuatilia hali ya kisiasa ilivyo nchini???

Kama Amiri Jeshi akishasema kuwa hali ya Usalama wa nchi ipo shwari na kwamba yeye yupo Imara, kuna haja gani tena kwa JWTZ nao kuja na Taarifa kwa Umma kuhusu jambo hilo hilo??

Katika hizi missteps zote za Jeshi yupo Waziri Mama Nshomile, Stergomena Tax; huyu niwaambie leo kuwa hana heshima yoyote mbele ya Wapiganaji tangu ile fedheha ya Goma mwanzoni mwa mwaka huu. Lakini kwa kuwa Mama alishasema yeye ni Chura kiziwi na kwa kuwa kipaumbele ni kula kwa urefu wa kamba na wala siyo kuongoza basi wacha iendelee kunyesha tujue panapovuja.

Kwa jicho la tatu, hizi taarifa za JWTZ zinaacha mwanya kufikiri kuwa Upepo unaweza kuvuma kuelekea popote.

Cha kushangaza, CCM na machawa wanadhani haya matamko ya JWTZ hayawahusu wao🙌🏽

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Afrika.
Wafanye kweli kieleweke
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom