Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mwamba anarudi leo kutoka ugaibuni. Tumpokee tumsindikize kwa Kingai.

Lissu.jpg
 
Kama JKNIA kwa kirefu una maananisha "Julius Kambarage Nyerere
International Airport", basi kifupi cha jina hilo kilibadirishwa enzi za Mhe. Basil Mramba wakati akiwa Waziri wa Ujenzi kwa sababu eti Wazungu walikuwa wakishindwa kulitamka jina la "Kambarage" na hivyo kifupi chake kuwa "JNIA" hadi Leo hii.
 
noted
 
Wahed kbsa uache kujitafutie ridhiki Kweli ukampokee lissu aliyeshiba vibaya mno pesa za ubunge na uwakili na dili zingine za kibeberu anazopewa huko ubeligiji

Nampenda lkn siwezi kwenda kumpokea aisee akapokelwew na dci kingai ,Kwanza anatakiwa aripoti ktk ofc za makosa ya jinai kwa kumuita rais kuwa akili zake Ni "matope"

Safari hi watamuweka ndani
JamiiForums1652963783_240x240.jpg
 
Tunamsubiri kwa hamu kubwa, aje apambe vilivyo na hao waujumu wa Tanganyika yetu.
LISSU + MWAMBUKUSI=.....
 
Wahed kbsa uache kujitafutie ridhiki Kweli ukampokee lissu aliyeshiba vibaya mno pesa za ubunge na uwakili na dili zingine za kibeberu anazopewa huko ubeligiji

Nampenda lkn siwezi kwenda kumpokea aisee akapokelwew na dci kingai ,Kwanza anatakiwa aripoti ktk ofc za makosa ya jinai kwa kumuita rais kuwa akili zake Ni "matope"

Safari hi watamuweka ndani View attachment 2699570
umelogwa na samia na kinana na kasimu na msando, na kingai na kitila mkumbo na jecha, na finally CCM 😀 😀 😀 😀 😀
 
Tunamsubiri kwa hamu kubwa, aje apambe vilivyo na hao waujumu wa Tanganyika yetu.
LISSU + MWAMBUKUSI=.....
Huyo Lissu mwenyewe anatumwa na mabeberu, anamshambulia mama eti tu kisa wawekezaji wana asili ya uarabu, huyu jamaa mnafiki sana
 
Back
Top Bottom