Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

Kama JKNIA kwa kirefu una maananisha "Julius Kambarage Nyerere
International Airport", basi kifupi cha jina hilo kilibadirishwa enzi za Mhe. Basil Mramba wakati akiwa Waziri wa Ujenzi kwa sababu eti Wazungu walikuwa wakishindwa kulitamka jina la "Kambarage" na hivyo kifupi chake kuwa "JNIA" hadi Leo hii.
 
noted
 
Wahed kbsa uache kujitafutie ridhiki Kweli ukampokee lissu aliyeshiba vibaya mno pesa za ubunge na uwakili na dili zingine za kibeberu anazopewa huko ubeligiji


Nampenda lkn siwezi kwenda kumpokea aisee akapokelwew na dci kingai ,Kwanza anatakiwa aripoti ktk ofc za makosa ya jinai kwa kumuita rais kuwa akili zake Ni "matope"

Safari hi watamuweka ndani
 
Tunamsubiri kwa hamu kubwa, aje apambe vilivyo na hao waujumu wa Tanganyika yetu.
LISSU + MWAMBUKUSI=.....
 
umelogwa na samia na kinana na kasimu na msando, na kingai na kitila mkumbo na jecha, na finally CCM πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Tunamsubiri kwa hamu kubwa, aje apambe vilivyo na hao waujumu wa Tanganyika yetu.
LISSU + MWAMBUKUSI=.....
Huyo Lissu mwenyewe anatumwa na mabeberu, anamshambulia mama eti tu kisa wawekezaji wana asili ya uarabu, huyu jamaa mnafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…