Twende tumbatu tukashuhudie jini

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow guys

Tufanye safari ya utalii kisiwa cha tumbatu ambapo huko u amshubudia jini kabisa na una mweleza shida zako na anatatu moja kwa moja yaani unaongea na jini uso kwa uso tufanye utalii kidogo wa ndani usikubali kufa kabla hujamjua jini anafanana vipi sawa?
 

Sawa twende!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…