ManzeseKila aina ya utamaduni una asili yake, wapi asili ya hiyo singeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamaduni gani wa Pwani ambao ni Ustaarabu? Uislam? Vigodoro? kushinda vibarazani?
Watu wa Pwani wana kitu gani bora cha kuwafunza watu wa bara?
Toka apa chapati yenyewe umeijulia Daslam.Utamaduni gani wa Pwani ambao ni Ustaarabu? Uislam? Vigodoro? kushinda vibarazani?
Watu wa Pwani wana kitu gani bora cha kuwafunza watu wa bara?
OKToka apa chapati yenyewe umeijulia Daslam.
Hii akili kubwa.
Yaaan mtu akijifanya hajaelewa mada alafu anabaki kukosoa grama kuliko mantiki ya muandishi anaboa zaidi.Dah.. yaani mm mtu akitumia "h" sehem isiyostahili ananiboa kishenzi "Hajibu" "Haibu" ndio nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
WEWE NDIO TATIZO...TENA KUBWA!tatizo lugha kiswahil hakielewek huko nje
Mawazo yako mgando! eti singeli sio utamaduni wa Mtanzania! Utamaduni wa Mtanzania ni upi! Tatizo lenu mkienda shule ndio mnazidi kuwa wajinga...sijui mnajifunza ujinga kule chule;Cc: Faiza FoxySingeli sio utamaduni wa Mtanzania bana, Watanzania 90% hawapendi Singeli
Singeli inapendwa na vijana wa uswahilini ukanda wa Pwani, wachache sana, sasa utamaduni wa watu wa Pwani, sio utamaduni wa Tanzania
Tena Watanzania wengi wanadharau sana utamaduni wa Pwani,
Chuoni kuna mtu alikuwa katokea Morogoro ila ukimwambia bi mtu wa Pwani anakataa mnaweza mpigane
Maana wanawaona ni watu ambao hawajaenda shule, wana uhuni mwingi, umbea, umalaya, uvivu, umasikini, watu wa kujiachia na kuridhika na vichache, wasiofikiria kesho n.k.
Ukimuuliza Mtanzania sifa za watu wa Uswahilini Pwani (ambao ndio wapenzi wa Singeli) watakuambia waba sifa hizo hapo juu
So hawakubali kuwa ndio waende ku represent picha ya Watu wa Tz walivyo
Singeli nibya watu wa Pwani, huwezi ukasema kitu kinachopendwa na watu wa Pwani eti ndio utamaduni wa Tanzania nzima, wakati Wtz wengi wanaona huo ni uhuni wa kijingaMawazo yako mgando! eti singeli sio utamaduni wa Mtanzania! Utamaduni wa Mtanzania ni upi! Tatizo lenu mkienda shule ndio mnazidi kuwa wajinga...sijui mnajifunza ujinga kule chule;Cc: Faiza Foxy
Toa wazo lako,huyu kasema Singeli,wewe unasema iwe nini???Mawazo yako mgando! eti singeli sio utamaduni wa Mtanzania! Utamaduni wa Mtanzania ni upi! Tatizo lenu mkienda shule ndio mnazidi kuwa wajinga...sijui mnajifunza ujinga kule chule;Cc: Faiza Foxy
Unashauri kitumike kitu gani kuleta hamasa??Huyu kasema Singeli wewe unashauri iwe nini ambayo itagusa jamii yote ya watanzania??Singeli nibya watu wa Pwani, huwezi ukasema kitu kinachopendwa na watu wa Pwani eti ndio utamaduni wa Tanzania nzima, wakati Wtz wengi wanaona huo ni uhuni wa kijinga
Kuna nyimbo za Kiswahili wanaweza wakatunga, sio Singeli...Singeli ni makelele, sio mzikiUnashauri kitumike kitu gani kuleta hamasa??Huyu kasema Singeli wewe unashauri iwe nini ambayo itagusa jamii yote ya watanzania??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Singeli zinaimbwa kiswahili, unashauri huo wimbo uwe ktk mahadhi gani ambayo yana cut across jamii nzima ya kitanzania??Tambua pia nyimbo nyingi za Kizaire ni makabila tofauti tofauti,lakini zikija kwetu hatusemi kitu ya kibemba hii au ya kimaniema hii tunasema kitu ya Kongo hii.Na ndio maana mtoa mada kashauri tupeleke product yetu,sasa wewe hutaki product ya wachache toa ushauri hiyo inayowagusa watanzania woteKuna nyimbo za Kiswahili wanaweza wakatunga, sio Singeli...Singeli ni makelele, sio mziki
Singeli haikubaliki Tanzania kiasi hicho, Haina Umaarufu hata Tanzania achilia mbali nje ya nchi..! Muziki wa Tanzania unafahamika na umepenya nje ya nchi, si Kenya, Si Rwanda, Uganda, DRC, Comoro, Zambia, Malawi,Msumbiji, Afrika Kusini, Nigeria n.k unafahamika, inafahamika ni bongoflava na sio Singeli... Singeli hata hapo Moshi au Arusha au Mbeya wanamuziki wake hawafahamiki, ukiwasikilizisha wanaona ni makelele, achilia mbali nje ya nchiHata Singeli zinaimbwa kiswahili, unashauri huo wimbo uwe ktk mahadhi gani ambayo yana cut across jamii nzima ya kitanzania??Tambua pia nyimbo nyingi za Kizaire ni makabila tofauti tofauti,lakini zikija kwetu hatusemi kitu ya kibemba hii au ya kimaniema hii tunasema kitu ya Kongo hii.Na ndio maana mtoa mada kashauri tupeleke product yetu,sasa wewe hutaki product ya wachache toa ushauri hiyo inayowagusa watanzania wote
Sent using Jamii Forums mobile app