Twendendeni AFCON na singeli yetu.

Twendendeni AFCON na singeli yetu.

Utamaduni gani wa Pwani ambao ni Ustaarabu? Uislam? Vigodoro? kushinda vibarazani?

Watu wa Pwani wana kitu gani bora cha kuwafunza watu wa bara?
Utamaduni gani wa Pwani ambao ni Ustaarabu? Uislam? Vigodoro? kushinda vibarazani?

Watu wa Pwani wana kitu gani bora cha kuwafunza watu wa bara?
Toka apa chapati yenyewe umeijulia Daslam.
 
Uwa naikubali sana ile Singeli ya Tanzanite na Dogo Niga.
 
Singeli sio utamaduni wa Mtanzania bana, Watanzania 90% hawapendi Singeli

Singeli inapendwa na vijana wa uswahilini ukanda wa Pwani, wachache sana, sasa utamaduni wa watu wa Pwani, sio utamaduni wa Tanzania
Tena Watanzania wengi wanadharau sana utamaduni wa Pwani,

Chuoni kuna mtu alikuwa katokea Morogoro ila ukimwambia bi mtu wa Pwani anakataa mnaweza mpigane

Maana wanawaona ni watu ambao hawajaenda shule, wana uhuni mwingi, umbea, umalaya, uvivu, umasikini, watu wa kujiachia na kuridhika na vichache, wasiofikiria kesho n.k.

Ukimuuliza Mtanzania sifa za watu wa Uswahilini Pwani (ambao ndio wapenzi wa Singeli) watakuambia waba sifa hizo hapo juu
So hawakubali kuwa ndio waende ku represent picha ya Watu wa Tz walivyo
Mawazo yako mgando! eti singeli sio utamaduni wa Mtanzania! Utamaduni wa Mtanzania ni upi! Tatizo lenu mkienda shule ndio mnazidi kuwa wajinga...sijui mnajifunza ujinga kule chule;Cc: Faiza Foxy
 
Mawazo yako mgando! eti singeli sio utamaduni wa Mtanzania! Utamaduni wa Mtanzania ni upi! Tatizo lenu mkienda shule ndio mnazidi kuwa wajinga...sijui mnajifunza ujinga kule chule;Cc: Faiza Foxy
Singeli nibya watu wa Pwani, huwezi ukasema kitu kinachopendwa na watu wa Pwani eti ndio utamaduni wa Tanzania nzima, wakati Wtz wengi wanaona huo ni uhuni wa kijinga
 
Kwa vile watu wanataka kitu ambacho ni sehemu ya utamaduni wa watanzania wengi nashauri twende na style ya Kula Ugali kiwanjani kama wale mashabiki wa Simba wanavyokula kiporo uwanjani,tafadhali mashabiki wa Yanga msiseme ni style ya Simba,ulaji kiporo na ugali ni utamaduni wa mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyimbo za Kiswahili wanaweza wakatunga, sio Singeli...Singeli ni makelele, sio mziki
Hata Singeli zinaimbwa kiswahili, unashauri huo wimbo uwe ktk mahadhi gani ambayo yana cut across jamii nzima ya kitanzania??Tambua pia nyimbo nyingi za Kizaire ni makabila tofauti tofauti,lakini zikija kwetu hatusemi kitu ya kibemba hii au ya kimaniema hii tunasema kitu ya Kongo hii.Na ndio maana mtoa mada kashauri tupeleke product yetu,sasa wewe hutaki product ya wachache toa ushauri hiyo inayowagusa watanzania wote

Singeli haikubaliki Tanzania kiasi hicho, Haina Umaarufu hata Tanzania achilia mbali nje ya nchi..! Muziki wa Tanzania unafahamika na umepenya nje ya nchi, si Kenya, Si Rwanda, Uganda, DRC, Comoro, Zambia, Malawi,Msumbiji, Afrika Kusini, Nigeria n.k unafahamika, inafahamika ni bongoflava na sio Singeli... Singeli hata hapo Moshi au Arusha au Mbeya wanamuziki wake hawafahamiki, ukiwasikilizisha wanaona ni makelele, achilia mbali nje ya nchi
 
Back
Top Bottom