bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Kocha mzawa labda Mgunda.Wanasimba viongozi hawaitakii mafanikio timu yetu hivyo ni Bora kuajiri KOCHA MZAWA na tuachane na Jao wanaotaka kumleta mbrazili Fernando Cruz.
Haina haja kuleta makocha ambao hatuwaamini.
Chonde chonde
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app