Twendeni na kocha mzawa hadi mwisho wa msimu

Twendeni na kocha mzawa hadi mwisho wa msimu

bahatibahati

Member
Joined
Jul 4, 2023
Posts
44
Reaction score
84
Wanasimba viongozi hawaitakii mafanikio timu yetu hivyo ni Bora kuajiri KOCHA MZAWA na tuachane na Jao wanaotaka kumleta mbrazili Fernando Cruz.

Haina haja kuleta makocha ambao hatuwaamini.

Chonde chonde

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu we waache wafanye ujinga wao. Maana kwa Sasa Simba haina Viongozi Bali wasanii wanaowatumia mashabiki Kama ngazi. Waache wamlete huyo Cruz uone vituko. Kocha amekaa miaka miwili Hana Timu.
 
Wanasimba viongozi hawaitakii mafanikio timu yetu hivyo ni Bora kuajiri KOCHA MZAWA na tuachane na Jao wanaotaka kumleta mbrazili Fernando Cruz.

Haina haja kuleta makocha ambao hatuwaamini.

Chonde chonde

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kocha mzawa labda Mgunda.
Ila kuna machawa pale simba wanakula mgao pesa za dili za kununua wachezaji maboya na makocha uchwara wanataka aje mzungu bora mzungu tu.
Mimi sina amani na hawa viongozi hawaitakii mema Simba

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom