Hakuna team pale ni genge la wahuni tuWatoto wangu mmoja ni shabiki wa Simba na mwingine Yanga. Nimewasikia jana wanabishana kila mmoja akisifia timu yake.
Katikati ya mabishano yao shabiki wa Simba akamwambia mwenzake "kabla ya nusu fainali Yanga mlikuwa mnatangaza kila siku na kujinadi kwenda kwenye mabadiliko, safari imeisha baada ya 4-1".
Nikakumbuka kuwa kulikuwa na matangazo mengi ya kuhusu kwenda kwenye mabadiliko, lakini ni kweli kwa sasa sisikii tena Twenzetu kwenye mabadiliko.
Imekuwaje?