Twenzetu kwenye mabadiliko

Twenzetu kwenye mabadiliko

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,832
Watoto wangu mmoja ni shabiki wa Simba na mwingine Yanga. Nimewasikia jana wanabishana kila mmoja akisifia timu yake.

Katikati ya mabishano yao shabiki wa Simba akamwambia mwenzake "kabla ya nusu fainali Yanga mlikuwa mnatangaza kila siku na kujinadi kwenda kwenye mabadiliko, safari imeisha baada ya 4-1".

Nikakumbuka kuwa kulikuwa na matangazo mengi ya kuhusu kwenda kwenye mabadiliko, lakini ni kweli kwa sasa sisikii tena Twenzetu kwenye mabadiliko.
Imekuwaje?
 
Hakuna team pale ni genge la wahuni tu
 
Yanga waswahili wengi,ujanjaujanja mwingi sana watakuja ondoka wote pale utaona,hamna kitu pale wasanii tyuu, wanajiita laliga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saizi wameanza kusema twende kwenye siku ya mwananchi wamesahau mabadiliko
 
Back
Top Bottom