Twiga cement plus -ina nini cha ziada?

Twiga cement plus -ina nini cha ziada?

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
272
Wandugu,

Nimeona cement mpya ya twiga plus. Napenda kujua ina nini cha zaidi kulinganisha na ile ya zamani.
-Je inatoa tofali nyingi zaidi au imara zaidi?
-Je ni kukauka haraka?
Tafadhali mwenye utaalamu wa mambo haya atujuze.

Asanteni
 
Wanaweweseka tu na ujio wa cement za Paksta, maana zimesababisha kukosekana kabisa kwa cement zetu madukani kwa maana hazina ubora.
 
Wanapigwa left right and centre, viwanda vimeongezeka na imported cements zimeja kwenye soko, it's just a business strategy kuharibu kurudi kwenye soko
 
Wandugu,

Nimeona cement mpya ya twiga plus. Napenda kujua ina nini cha zaidi kulinganisha na ile ya zamani.
-Je inatoa tofali nyingi zaidi au imara zaidi?
-Je ni kukauka haraka?
Tafadhali mwenye utaalamu wa mambo haya atujuze.

Asanteni

Nami nimeiona nikajiuliza maswali kama yako! Naona ni strategy ya kibiashara.
 
Tena kuna hii inaitwa lucky asee ni cement nzuri mno tena bei haitofautiani sana na hiyo twiga sema lucky ni bora zaidi.HAWA TWIGA WALIJIONA WAJANJA KWA KUFANYA MONOPOLY asa ngoja wapate stiff challenge kutoka nje.PAMBAF SANA
Wanaweweseka tu na ujio wa cement za Paksta, maana zimesababisha kukosekana kabisa kwa cement zetu madukani kwa maana hazina ubora.
 
Tena kuna hii inaitwa lucky asee ni cement nzuri mno tena bei haitofautiani sana na hiyo twiga sema lucky ni bora zaidi tena imported ila bei ni reasonable kabisa.HAWA TWIGA WALIJIONA WAJANJA KWA KUFANYA MONOPOLY asa ngoja wapate stiff challenge kutoka nje.PAMBAF SANA
Wanaweweseka tu na ujio wa cement za Paksta, maana zimesababisha kukosekana kabisa kwa cement zetu madukani kwa maana hazina ubora.
 
Wanaweweseka tu na ujio wa cement za Paksta, maana zimesababisha kukosekana kabisa kwa cement zetu madukani kwa maana hazina ubora.

Nimecheka sana Mkuu! yaani B4 ujio wa Pakista,Jamaa walikuwa wanajiuzia2!
 
Cement nzuri no yenye strength ya 42.5.angalia ktk mfuko utaona imeandikwa no hiyo.ukiona 32.5 usinunue.cement za Pakistan ndio nzuri.
 
changamoto muhimu kwenye biashara! hata hivyo pakstan watakua wanauzoefu wakutengeneza cement nzuri kwasababu ya uzoefu wao wakuziba matundu ya risasi kwenye nyumba zilizo koga mvua za risasi kutoka kwa wakaidi(just a joke)!
 
Hio Lucky cement inapatikana wapi kwa Dar na ni bei gani kwa jumla kwa ajili ya biashara.
 
Back
Top Bottom