Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball

hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana twiga awe mweusi na mlima kilimnajaro uwe na theluji ya kijani

UUUWIII Uto kama uto ila kule CAF kwenye makundi logo ya wadhamini wa TOTAL ile nyekundu walivaa ,shenziiiiiiiii
 
Yanga Wana rangi tatu za Klabu yao, Njano, kijani na Nyeusi. Logo zote zinatakiwa zifuate rangi izo Mama. .
NBC au wengine wote watakao kuja kwenye mpira wa nchi hii wanatambua Yanga ndio wa asisi wa mpira wa Nchi hii kwaiyo Taratibu zote Inabidi ziendane na anchotaka mwenye mpira wake.Izo timu zingine wanaweza kuzifanya chochote wanacho taka.
 
Ukitaka kujua peleka logo au jezi ya kijani na njano uone kama itabarikiwa msimbazi !!

Ukipata jibu uje uwalaumu Yanga
Unafuatilia mpira ?
Mechi zote za Simba kuanzia makundi hadi robo fainali za Champions League huwa wanawekewa logo yenye ukijani kwenye mabega.

Hebu kumbuka vema mkuu, kama huwezi kukumbuka, basi utakumbushwa na sisi.

Hapa ni dhidi ya AS Vita

IMG-20210403-WA0142.jpg

Hapa ni dhidi ya Al Ahly
Simba2.jpg

Na hapa ni dhidi ya Kaizer Chiefs
samir-nurkovic-kaizer-chiefs-luis-miquissone-simba-sc-may-2021_ceesfx9b0bnn1lbkxsxh9xvjh.jpg

Labda kama una jingine, karibu
 
Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball

hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana twiga awe mweusi na mlima kilimnajaro uwe na theluji ya kijani

UUUWIII Uto kama uto ila kule CAF kwenye makundi logo ya wadhamini wa TOTAL ile nyekundu walivaa ,shenziiiiiiiii
Unaumri gani mwenye akili timamu huwezi kuandka hivi, wewe utakuwa Ke wa kwamfuga umbwa maana unamaneno ya shobo kweli
 
Yanga Wana rangi tatu za Klabu yao, Njano, kijani na Nyeusi. Logo zote zinatakiwa zifuate rangi izo Mama. .
NBC au wengine wote watakao kuja kwenye mpira wa nchi hii wanatambua Yanga ndio wa asisi wa mpira wa Nchi hii kwaiyo Taratibu zote Inabidi ziendane na anchotaka mwenye mpira wake.Izo timu zingine wanaweza kuzifanya chochote wanacho taka.
Hiki kipengele kama kweli kipo huko Yanga, basi wanatakiwa wakibadilishe haraka. Hakiendani na zama za sasa za mpira wa biashara, kitainyima timu fursa za wadhamini.

Ni lazima wanaYanga wa sasa waanze kutofautisha kati ya rangi za klabu na rangi za wadhamini.
 
Dar es Salaam Young Africans haiwezi kukiuka misingi iliyowekwa na waanzilishi wa klabu hii ambao ndio walikuwa wapigania uhuru wa nchi hii yenye amani duniani kote na misingi hiyo ilibase katika tafsiri ya rangi kuu tatu
Kijani
Njano
Nyeusi

Tuendelee kuishi humo wakuu na yule Twiga hana namna inabidi awe Mweusi na ajifunze kuishi kutokana na mazingira na bila kusahau mlima Kilimanjaro utanakshiwa na kijani kibichi
 
Yanga Wana rangi tatu za Klabu yao, Njano, kijani na Nyeusi. Logo zote zinatakiwa zifuate rangi izo Mama. .
NBC au wengine wote watakao kuja kwenye mpira wa nchi hii wanatambua Yanga ndio wa asisi wa mpira wa Nchi hii kwaiyo Taratibu zote Inabidi ziendane na anchotaka mwenye mpira wake.Izo timu zingine wanaweza kuzifanya chochote wanacho taka.
Veeeeeerrrrrry unprofessional kuanzia yanga mpaka nbc. CRDB wasingekubali utopolo kama huu
 
Kumbe Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja tu? Na anatamani kurudi Msimbazi kama ilivyokuwa kwa Makambovich?
 
Ni kitu cha kawaida...

Mfano tazama Man U walivyobadili rangi za TeamViewer kutoka bluu/nyeupe na kuwa nyekundu/nyeupe ili kuendana na rangi yao mama...
Kwamba walibadili kwa matakwa ya kwanza kwa kuwa sio colours za Man United??

Naona unachanganya Madesa
 
acha uvivu na ubishi, Google...

"However, what we do know is that the company's logo, which is blue and white, will be modified due to United's rivalry with City"
 
Hiki kipengele kama kweli kipo huko Yanga, basi wanatakiwa wakibadilishe haraka. Hakiendani na zama za sasa za mpira wa biashara, kitainyima timu fursa za wadhamini.

Ni lazima wanaYanga wa sasa waanze kutofautisha kati ya rangi za klabu na rangi za wadhamini.
Hii habari ni kweli mkuu utaisikia tu Twiga mweusi theluji ya mlima ya kijani
 
Back
Top Bottom