Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu subiri confirmation baadaye, mimi nimesikitika tu theluji kuwa ya kijaniNimewadharau NBC kama ni kweli
Ndiyo hiyo wamepewa jana walikuwa na kika o na NBC sema theluji ni ya kijani(lol)View attachment 1965323
hii ya pili itawapendeza
Ulisoma shule au ulisomea ujinga? Man u wale ni wadhamini binafsi hawa nbc wameingia mkataba na tff/bodi ya ligi. Tofautisha hapo kwanza.Ni kitu cha kawaida...
Mfano tazama Man U walivyobadili rangi za TeamViewer kutoka bluu/nyeupe na kuwa nyekundu/nyeupe ili kuendana na rangi yao mama...
Wakati mwengine unyamaze tu!!..Ukitaka kujua peleka logo au jezi ya kijani na njano uone kama itabarikiwa msimbazi !!
Ukipata jibu uje uwalaumu Yanga
Hata mimi nilikua najiuliza muda huu, hivi wadau wa hili jukwaa la michezo tumekosea wapi kiasi cha kuruhusu watu wenye hulka za aina ya mtoa mada kujimilikisha hili jukwaa!Unaumri gani mwenye akili timamu huwezi kuandka hivi, wewe utakuwa Ke wa kwamfuga umbwa maana unamaneno ya shobo kweli
kunywa maji mkuu baadaye hii habari inakuja kuwa confirmed nitasubiri an apology from youHata mimi nilikua najiuliza muda huu, hivi wadau wa hili jukwaa la michezo tumekosea wapi kiasi cha kuruhusu watu wenye hulka za aina ya mtoa mada kujimilikisha hili jukwaa!
Kuna yule mwenzake mwingine yule! Anaitwa nani sijui!! Wakija na mada zai humu, unashindwa kuelewa kama tuko jukwaa la Wambea na Mashangingi ya mjini, au jukwaa pendwa la michezo!
Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball
hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana twiga awe mweusi na mlima kilimnajaro uwe na theluji ya kijani
UUUWIII Uto kama uto ila kule CAF kwenye makundi logo ya wadhamini wa TOTAL ile nyekundu walivaa ,shenziiiiiiiii
safi sana club ninayoikubali kwa kuongoza kwa kufungwa mbele ya marais simba haya akihudhuria mechi rais wa bao lazima wafungwe!Unafuatilia mpira ?
Mechi zote za Simba kuanzia makundi hadi robo fainali za Champions League huwa wanawekewa logo yenye ukijani kwenye mabega.
Hebu kumbuka vema mkuu, kama huwezi kukumbuka, basi utakumbushwa na sisi.
Hapa ni dhidi ya AS Vita
View attachment 1965236
Hapa ni dhidi ya Al Ahly
View attachment 1965242
Na hapa ni dhidi ya Kaizer Chiefs
View attachment 1965243
Labda kama una jingine, karibu
Siku wakiktaaa kuvaa hii kwenye CAF nitawaona kweli wana msimamo hawa wabaki kuwonea vodacom Tz na Nbc wajaribu kuleta fyokofyoko kwa CAF kwamba TOTAL wabadilishe maandishi ya rangi nyekundu..HALAFU RANGI YA KIJANI NA NJANO KWENYE LOGO HUWA INATUMIWA NA WAKULIMA WA MAHINDI AU WANAOKOBOA MAHINDI AU WATU WA MAZINGIRA ,MAKAMPUNI SERIOUS NI BLUE ,RED AND WHITE
View attachment 1965325
Ndiyo hiyo wamepewa jana walikuwa na kika o na NBC sema theluji ni ya kijani(lol)
Ulisoma shule au ulisomea ujinga? Man u wale ni wadhamini binafsi hawa nbc wameingia mkataba na tff/bodi ya ligi. Tofautisha hapo kwanza.
Wewe ndio una mawazo mgando kutumia mfano wa man u na nbc ni vitu viwili tofauti kabisa. Nakukumbusha unapayuka visivyoeleweka. Narudia.Watanzania sijui huwa mlijambwa...yaani akili zenu zipo very direct, huwezi hata kutumia wasaa kidogo kunyumbulisha maarifa
Usikimbilie ku-quote mtu na kuanza kejeli kama hujaelewa