CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
jibu swali mbona mara ya mwisho kjuingia makundi afrika 2016 walivaa jezi zenye logo ya wadhamini wa CAF (Total) na ni rangi nyekundu??????Ukitaka kujua peleka logo au jezi ya kijani na njano uone kama itabarikiwa msimbazi !!
Ukipata jibu uje uwalaumu Yanga
Hakuna kampuni seriaz inatumia marangi ya njano kibiasharaUkitaka kujua peleka logo au jezi ya kijani na njano uone kama itabarikiwa msimbazi !!
Ukipata jibu uje uwalaumu Yanga
Anahahaaaa [emoji28][emoji23][emoji1787]. Labda kwenye siasa !!Hakuna kampuni seriaz inatumia marangi ya njano kibiashara
Unafuatilia mpira ?Ukitaka kujua peleka logo au jezi ya kijani na njano uone kama itabarikiwa msimbazi !!
Ukipata jibu uje uwalaumu Yanga
Unaumri gani mwenye akili timamu huwezi kuandka hivi, wewe utakuwa Ke wa kwamfuga umbwa maana unamaneno ya shobo kweliHaya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball
hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana twiga awe mweusi na mlima kilimnajaro uwe na theluji ya kijani
UUUWIII Uto kama uto ila kule CAF kwenye makundi logo ya wadhamini wa TOTAL ile nyekundu walivaa ,shenziiiiiiiii
Hiki kipengele kama kweli kipo huko Yanga, basi wanatakiwa wakibadilishe haraka. Hakiendani na zama za sasa za mpira wa biashara, kitainyima timu fursa za wadhamini.Yanga Wana rangi tatu za Klabu yao, Njano, kijani na Nyeusi. Logo zote zinatakiwa zifuate rangi izo Mama. .
NBC au wengine wote watakao kuja kwenye mpira wa nchi hii wanatambua Yanga ndio wa asisi wa mpira wa Nchi hii kwaiyo Taratibu zote Inabidi ziendane na anchotaka mwenye mpira wake.Izo timu zingine wanaweza kuzifanya chochote wanacho taka.
Veeeeeerrrrrry unprofessional kuanzia yanga mpaka nbc. CRDB wasingekubali utopolo kama huuYanga Wana rangi tatu za Klabu yao, Njano, kijani na Nyeusi. Logo zote zinatakiwa zifuate rangi izo Mama. .
NBC au wengine wote watakao kuja kwenye mpira wa nchi hii wanatambua Yanga ndio wa asisi wa mpira wa Nchi hii kwaiyo Taratibu zote Inabidi ziendane na anchotaka mwenye mpira wake.Izo timu zingine wanaweza kuzifanya chochote wanacho taka.
Soka la kibongo linapelekwa kishamba sana mkuu.Veeeeeerrrrrry unprofessional kuanzia yanga mpaka nbc. CRDB wasingekubali utopolo kama huu
Kwamba walibadili kwa matakwa ya kwanza kwa kuwa sio colours za Man United??Ni kitu cha kawaida...
Mfano tazama Man U walivyobadili rangi za TeamViewer kutoka bluu/nyeupe na kuwa nyekundu/nyeupe ili kuendana na rangi yao mama...
Kwamba walibadili kwa matakwa ya kwanza kwa kuwa sio colours za Man United??
Naona unachanganya Madesa
Hii habari ni kweli mkuu utaisikia tu Twiga mweusi theluji ya mlima ya kijaniHiki kipengele kama kweli kipo huko Yanga, basi wanatakiwa wakibadilishe haraka. Hakiendani na zama za sasa za mpira wa biashara, kitainyima timu fursa za wadhamini.
Ni lazima wanaYanga wa sasa waanze kutofautisha kati ya rangi za klabu na rangi za wadhamini.