Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

Siku wakiktaaa kuvaa hii kwenye CAF nitawaona kweli wana msimamo hawa wabaki kuwonea vodacom Tz na Nbc wajaribu kuleta fyokofyoko kwa CAF kwamba TOTAL wabadilishe maandishi ya rangi nyekundu..HALAFU RANGI YA KIJANI NA NJANO KWENYE LOGO HUWA INATUMIWA NA WAKULIMA WA MAHINDI AU WANAOKOBOA MAHINDI AU WATU WA MAZINGIRA ,MAKAMPUNI SERIOUS NI BLUE ,RED AND WHITE
 
Ni kitu cha kawaida...

Mfano tazama Man U walivyobadili rangi za TeamViewer kutoka bluu/nyeupe na kuwa nyekundu/nyeupe ili kuendana na rangi yao mama...
Ulisoma shule au ulisomea ujinga? Man u wale ni wadhamini binafsi hawa nbc wameingia mkataba na tff/bodi ya ligi. Tofautisha hapo kwanza.
 
Yani makolo fc toka tuwapige wamekuwa kama wanaweweseka vile
 
Unaumri gani mwenye akili timamu huwezi kuandka hivi, wewe utakuwa Ke wa kwamfuga umbwa maana unamaneno ya shobo kweli
Hata mimi nilikua najiuliza muda huu, hivi wadau wa hili jukwaa la michezo tumekosea wapi kiasi cha kuruhusu watu wenye hulka za aina ya mtoa mada kujimilikisha hili jukwaa!

Kuna yule mwenzake mwingine yule! Anaitwa nani sijui!! Wakija na mada zai humu, unashindwa kuelewa kama tuko jukwaa la Wambea na Mashangingi ya mjini, au jukwaa pendwa la michezo!
 
kunywa maji mkuu baadaye hii habari inakuja kuwa confirmed nitasubiri an apology from you
 
Mtajibeba haters
 
safi sana club ninayoikubali kwa kuongoza kwa kufungwa mbele ya marais simba haya akihudhuria mechi rais wa bao lazima wafungwe!
 

Kwanza hata uwezo wa kufika huko wanao basi? Hawa ni wa hapa hapa tu,very local
 
Ndiyo hiyo wamepewa jana walikuwa na kika o na NBC sema theluji ni ya kijani(lol)

“Pale Jangwani wenye akili ni JK na Sunday Manara basi,wengine wote linapokuja swala la Yanga yao si Mwenye PHD hadi Kuli wote akili zao zinakuwa sawa sawa” by Haji Manara
 
Ulisoma shule au ulisomea ujinga? Man u wale ni wadhamini binafsi hawa nbc wameingia mkataba na tff/bodi ya ligi. Tofautisha hapo kwanza.

Watanzania sijui huwa mlijambwa...yaani akili zenu zipo very direct, huwezi hata kutumia wasaa kidogo kunyumbulisha maarifa

Usikimbilie ku-quote mtu na kuanza kejeli kama hujaelewa
 
Watanzania sijui huwa mlijambwa...yaani akili zenu zipo very direct, huwezi hata kutumia wasaa kidogo kunyumbulisha maarifa

Usikimbilie ku-quote mtu na kuanza kejeli kama hujaelewa
Wewe ndio una mawazo mgando kutumia mfano wa man u na nbc ni vitu viwili tofauti kabisa. Nakukumbusha unapayuka visivyoeleweka. Narudia.
Man u kwa View team ni wadhamini binafsi wa timu. Nbc ni wadhamini wa ligi wameingia na bodi/tff elewa tofauti hiyo kwanza ndo ulete hoja zako dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…