chotimemba
Member
- Jan 2, 2011
- 14
- 0
kale katimu ka wanawake wa bongo mwaka 2010 kailifanya vizuri saaaana naiombea na mwaka huu wapewe nguvu na wafadhili watinge tena fainali na kufika mbali maana niliona wadada wale walijitahidi sana. Lakini nimpongeze kocha wao mtulivu charles b. mkwasa na kumpa pole sana mkewe kwa kuvumilia baba akiwa na wadada kuanzia viongozi mpaka wachezaji na kukaa nao zaidi ya miezi minne kambini!!!! duuu si mchezo!!!!!