Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-1 HT bado
Mkuu shukrani endelea kutupa update, btw hawa ni banyana banyana sio bafana bafana(timu ya taifa ya wanaume SA)1-1 HT bado
Mpira umeisha ijapo bado kidogo tufluke kupata goli
final score banyanabanyana 2-twiga stars 1
timu zingine kwenye kundi ni nigeria na mali, kwa hiyo kazi ipo sana
nasikia wachezaji wa twiga wanalalamika wewe nini bwana? Sijui wanamwambia nani
Banyana wamemchezesha semenya nini?