Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Ni kweli, mechi inapigwa leo. Kick off ni saa 16'30 EAT. Mlioko uwanjani mtuletee updates kama kawaida.
Akili yangu ilikuwa inanituma kuwa utatokea wewe kweli na imekuwa...bado mbu...mosdef na wengineo
Naona raia full kuuchuna
Naona raia full kuuchuna
Hadi dak. 30: Twiga 2-0 She-Polopolo.
Asha Rashid 3' na Mwanahamisi Shuru 29'.
Twende pamoja!
Wadau Shumaramuuu!!!!
Naombeni Mlioko Dar es Salaam mtupe updates za kinachoendelea Uwanja wa Taifa maana naambiwa mechi ni leo. Nimesubiria sana mlioko mjini walau muanzishe update lakini naona kimya. Pls
Asante kwa taarifa........Zambia wanapata goli moja...limefungwa na grace