Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MEANDU huo mguu wako na hivyo viatu bana...hata kufuatilia updates nashindwa ujue...
Ta MuganyiziTwiga 2 -3 tanzania
Ta Muganyizi
Twiga 2 -3 tanzania; pole mi huwa sipendi kwenda uwanjani kushangilia timu yangu huwa nashikwa na kihoro tunapozidiwa
du afadhari mpira umekwishaaaaaaaa agr 6-5
Ta Muganyizi
Twiga 2 -3 tanzania; pole mi huwa sipendi kwenda uwanjani kushangilia timu yangu huwa nashikwa na kihoro tunapozidiwa
Kipindi cha pili kimeanza. Fuatilia tweets za TFF kupitia www.tff.or.tz kwa matokeo zaidi.
Kwahiyo nani kashinda?
Mkuu MEANDU usitutie majaribuni!
Dada updates ziko mwanzoni mwa threa...zambia wametufunga ila tumesonga mbele maana kwao tuliwafunga 4 -2
Ni kombe gani?
pole sana ngoja nivikuze vikuchanganye zaidi
![]()
CHAN africa