Twiga Stars ----vs---- Che - Polopolo ya Zambia

Twiga Stars ----vs---- Che - Polopolo ya Zambia

MEANDU huo mguu wako na hivyo viatu bana...hata kufuatilia updates nashindwa ujue...

pole sana ngoja nivikuze vikuchanganye zaidi

73dadcdfae00d9958d1a2ac8ce1bff54.jpg
 
pole sana ngoja nivikuze vikuchanganye zaidi

73dadcdfae00d9958d1a2ac8ce1bff54.jpg

du...una manyoa miguuni...nimeukumbuka ule wimbo wa mwana fa mimi na mabinti damu damu...michirizi nyuma ya goti!!!ila hongera kwa kusonga maana hawa chepo hawakuwa haba!!
 
mbona sikioni kitufe cha like!!nilitaka ni-like mguu wa mtu wallah...
 
Back
Top Bottom