Twiga Stars ----vs---- Che - Polopolo ya Zambia

kuna binti wa twiga stars anapaisha hapa....
 
beki mmoja hapa wa twiga anataka kuchomesha hapa kwa kujiamini
 
Eto Mlezi alitaka kufanya vitu hapa kawekwa chini...
 
eto anapiga mpira wa adhabu hapa lakini unaishia mikononi mwa golikipa!
 
naaam naona twiga wanacheza kwa kuonana hapo uwanjani...
 
ball possession 48% kwa Twiga na 52% kwa Chepo
 
Mwasikili anajaribu hapa kutoka nje ya 18 lakini mpira unaenda nje...
 
huyu golikipa wa Twiga kajazia jazia hivi...
 
dk ya 84 goli bado 2-2 chepo wanafanya mabadiriko hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…