FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Kipindi cha pili sasa mchezo ni mzuri lakini hakuna timu iliyobahatika kuchungulia lango la mwenzio,more updates to come,wanaume hivi hamna enterest na mpira wa wanawake sioni hata special sread for them,Weekend njema
safi sana firstlady ku-represent soka la wanawake kwenye jukwaa la michezo.Mchezaji Asha Rashid anaipatia Twiga Stars bao la kusawazisha ,mpaka sasa Twiga 1 Ethiopia 1 mchezaji mmoja wa Ethiopia yuko nje kwa kadi nyekundu ,Bado kuna dkk 2 pambani limalizike
Hahah thanx my kaka weekend njema byeInterest ipo,tumekaa kimya ili iwe changamoto kwenu muanzishe 'sredi' yenu spesho....Anzisheni,sisi tutachangia tu
Oyee!!!. Hongera Binti Rashid .Kaza kamba mwakwetu.Mchezaji Asha Rashid anaipatia Twiga Stars bao la kusawazisha ,mpaka sasa Twiga 1 Ethiopia 1 mchezaji mmoja wa Ethiopia yuko nje kwa kadi nyekundu ,Bado kuna dkk 2 pambani limalizike
safi sana firstlady ku-represent soka la wanawake kwenye jukwaa la michezo.
na umetoa update vizuri sana.tunakukaribisha kwenye jukwaa la kombe la dunia huwe mmoja wa kutoa updates.
Thanx Aersene Wenger tuko pamoja katika kombe la dunia kwa kina mama nina enterest kubwa sana ya kuangalia mpira weekend njema brosafi sana firstlady ku-represent soka la wanawake kwenye jukwaa la michezo.
na umetoa update vizuri sana.tunakukaribisha kwenye jukwaa la kombe la dunia huwe mmoja wa kutoa updates.
whats so speacial with man united at the moment? wote tunagombea epl na wote tuko kwenye robo fainali.hahahaFL!
BTW; AW hapo juu pia anakukaribisha jukwaa la mashetani (Man Utd), kuwa mdau, kiingilio ni bure, na kamwe hutajutia. Njoo umpe kampani Belinda J.