Twiga stars Vs Ethiopia

Twiga stars Vs Ethiopia

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Kipindi cha pili sasa mchezo ni mzuri lakini hakuna timu iliyobahatika kuchungulia lango la mwenzio,more updates to come,wanaume hivi hamna enterest na mpira wa wanawake sioni hata special sread for them,Weekend njema
 
Dkk ya 23 kipindi cha pili Ethiopia wanaandika bao la kwanza
 
Kipindi cha pili sasa mchezo ni mzuri lakini hakuna timu iliyobahatika kuchungulia lango la mwenzio,more updates to come,wanaume hivi hamna enterest na mpira wa wanawake sioni hata special sread for them,Weekend njema

Interest ipo,tumekaa kimya ili iwe changamoto kwenu muanzishe 'sredi' yenu spesho....Anzisheni,sisi tutachangia tu
 
Mchezaji Asha Rashid anaipatia Twiga Stars bao la kusawazisha ,mpaka sasa Twiga 1 Ethiopia 1 mchezaji mmoja wa Ethiopia yuko nje kwa kadi nyekundu ,Bado kuna dkk 2 pambani limalizike
 
Mpira umekwisha Twiga 1 Ethiopia 1 kwa matokeo haya Twiga Stars wamefanikiwa kusonga mbele na michuano hii,nawatakia weekend njema
 
Mchezaji Asha Rashid anaipatia Twiga Stars bao la kusawazisha ,mpaka sasa Twiga 1 Ethiopia 1 mchezaji mmoja wa Ethiopia yuko nje kwa kadi nyekundu ,Bado kuna dkk 2 pambani limalizike
safi sana firstlady ku-represent soka la wanawake kwenye jukwaa la michezo.

na umetoa update vizuri sana.tunakukaribisha kwenye jukwaa la kombe la dunia huwe mmoja wa kutoa updates.
 
Oyee!!!. Hongera Binti Rashid .Kaza kamba mwakwetu.
 
safi sana firstlady ku-represent soka la wanawake kwenye jukwaa la michezo.

na umetoa update vizuri sana.tunakukaribisha kwenye jukwaa la kombe la dunia huwe mmoja wa kutoa updates.

FL!
Asante kwa update nzuri.
BTW; AW hapo juu pia anakukaribisha jukwaa la mashetani (Man Utd), kuwa mdau, kiingilio ni bure, na kamwe hutajutia. Njoo umpe kampani Belinda J.
 
Asante sana dada kwa updates...Pia hongera Twiga Stars kwa ushindi...
 
safi sana firstlady ku-represent soka la wanawake kwenye jukwaa la michezo.

na umetoa update vizuri sana.tunakukaribisha kwenye jukwaa la kombe la dunia huwe mmoja wa kutoa updates.
Thanx Aersene Wenger tuko pamoja katika kombe la dunia kwa kina mama nina enterest kubwa sana ya kuangalia mpira weekend njema bro
 
FL!
BTW; AW hapo juu pia anakukaribisha jukwaa la mashetani (Man Utd), kuwa mdau, kiingilio ni bure, na kamwe hutajutia. Njoo umpe kampani Belinda J.
whats so speacial with man united at the moment? wote tunagombea epl na wote tuko kwenye robo fainali.hahaha

siwezi kushabikia timu yoyote uingereza zaidi ya arsenal kutokana na kandanda safi wanalopiga.
 
FL1 kumbe umo pia kwenye mpira, au ni sababu ya mpira wa wadada? hongera sana na asante kwa updates
 
Si matokeo mazuri, nlitegemea 4:0 wadada vipi?
 
Hongera sana 'chickz' samahani lkn!!! Kwi kwiii kwiiiii!!! Just joke
 
Back
Top Bottom