michuano ya mataifa ya kiafrika ya mpira wa miguu WAFCON itakyoanza July 2025 nchini Morocco
Timu mbili za juu kutoka kwa kila kundi, pamoja na timu mbili bora zilizoshika nafasi ya tatu, zitafuzu kwa robo fainali.
BINGWA WA WAFCON KUIBUKA NA TSHS. 1,650000,000
CAF imeongeza pesa za tuzo za mashindano ya mwaka huu ya WAFCON hadi $600,000 (Tshs.1.65 blioni) kwa washindi, $400,000 kwa washindi wa pili, na $350,000 kwa washindi wa tatu.
Hata timu zitakazomaliza katika nafasi za mwisho katika vikundi vyao zitapata pesa za ushiriki.
Timu 12 zinashindana katika
WAFCON 2024 katika kutafuta utukufu wa bara na sehemu ya dimbwi la zawadi lililoimarishwa. Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Julai 5, 2025, na kukamilika Julai 26, 2025.
Haya hapa ni makundi ya mashindano hayo ya Finali za WAFCON 2024 :
Kundi A : Morocco, DR Congo, Senegal, Zambia
Kundi B : Nigeria, Tunisia, Algeria, Botswana
Kundi C : Afrika Kusini, Ghana, Mali, Tanzania