Twist in Sh660m Fastjet-Fly540 wrangle as licence is withdrawn

ile ofisi pale samora pembeni ya steers ina nuksi kila co ya ndege inayopitia pale aidumu.hahahahaha community airline,540,fastjet na kabla ya hapo kuna nyingine nyingi zilipita hapo.poleni wazee wa 32,000.vya raisi huwa havidumu
 
Ah wapi! Fastjet wanaendelea kama kawaida. Chanzo cha hizo habari ni bwana 540 mwenyewe (Don Smith) kutaka kutumia media ili apate dongo nono baada ya kununuliwa. Fasject wapo na hivi karibuni wataongeza route.
 
yani kila Mtanzania mlalahoi anapoanza kuona unafuu mahali basi haikiwii kutoweka. Kuna watu wameletwa duniani kuhakikisha wenzao hawapumui
 
Ah wapi! Fastjet wanaendelea kama kawaida. Chanzo cha hizo habari ni bwana 540 mwenyewe (Don Smith) kutaka kutumia media ili apate dongo nono baada ya kununuliwa. Fasject wapo na hivi karibuni wataongeza route.

kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Fadhili Manonga nae anatudanganya???
 
hata community airline ilianza kwa makeke kama ya fastjet wakuu
 
ile ofisi pale samora pembeni ya steers ina nuksi kila co ya ndege inayopitia pale aidumu.hahahahaha community airline,540,fastjet na kabla ya hapo kuna nyingine nyingi zilipita hapo.poleni wazee wa 32,000.vya raisi huwa havidumu
huwezi ukawa unatoa huduma chini ya bei ya wastani ya soko utegemee kudumu mkuu
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Fadhili Manonga nae anatudanganya???

Fastjet walitoa statement na wanasema bwana 540 hana mamlaka kisheria kuzuia kitu maana alishapewa chake!
 
Hii habari ingenihusu zaidi kama ingezungumzia daladala.
 
Fastjet walitoa statement na wanasema bwana 540 hana mamlaka kisheria kuzuia kitu maana alishapewa chake!

Taarifa inajieleza kwamba kuna mkataba ambao waliwekeana ili kuuziana share. Mmojawapo wa parties ktk mkataba akikiuka au kwenda kinyume na contract basi upande wapili unaruhusiwa kisheria kusitisha/kuvunja huo mkataba. Atakeamua kwamba hakuna alieenda kinyume na contract ni mahakama, na sio boss wa FastJet.
 
Serikali ya ccm haipendi kabisa kuona wananchi wa kawaida mnapanda ndege! Haipendi yani mfanane na wao! Haiwezekani, naamini tungekuwa na serikali ''INAYOJALI WANANCHI'' wangewapa hata mkataba wa muda! Lakini ni ngumu kwa mlala hoi wa nchi hii kupata nafuu hata ya usafiri mkiwa chini ya ccm.
 
Mbona hizi Habari zimekanushwa na Manager wao jana...
 
Fastjet wamekanusha lakn hii habar, wamesema si ya kwel!
 
mhhh sasa haka ticket kangu ntawah kukatumia kweli? yalaaaaaaa usafiri wetu
 
Ah wapi! Fastjet wanaendelea kama kawaida. Chanzo cha hizo habari ni bwana 540 mwenyewe (Don Smith) kutaka kutumia media ili apate dongo nono baada ya kununuliwa. Fasject wapo na hivi karibuni wataongeza route.
Umeona eeh? Fly 540 ndio wameeneza huo upuuzi kwa waandishi wa habari walionunuliwa. TCAA hawajasema lolote kuhusu kufunga license ya Fastjet, mgogoro unakuzwa na 540. Fastjet is there to stay!
 
Reactions: FJM
kweli narudi tena kwa MOHAMED na NAJMNISA mwanza -dar? kha!!!!!!!:target::target::target:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…